Kwa Mama Anayenyonyesha | Mambo Muhimu Yakuzingatia

Mtoto anapaswa kukamata sehemu kubwa ya eneo la duara jeusi la titi (areola), si chuchu pekee. Ukisikia maumivu makali, jua mtoto hajashika vizuri.

Osha matiti kwa maji safi. Epuka kutumia sabuni kali kwenye chuchu kwani zinaweza kukausha mafuta asilia na kusababisha chuchu kupasuka (cracked nipples). MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Pombe hupenya kwenye maziwa na inaweza kumdhuru mtoto. Kafeini (kwenye kahawa au chai kali) inaweza kumfanya mtoto akose usingizi au awe na mahangaiko. 2. Mbinu Sahihi za Unyonyeshaji Mtoto anapaswa kukamata sehemu kubwa ya eneo la